Le mobimba
Member
- Dec 1, 2020
- 88
- 152
Sikupiga kura mkuuKaribu. Vipi mwenzetu, kura yako ilihesabiwa?
Umejiunga wakati mzuri, wakati ambapo wana JF wengi wamestaarabika! Ungejiunga zama zile, kuna nyakati ungetamani ardhi ipasuke ili ikumeze kuliko kukutana na shombo za wana JF!
Asante Sana MkuuKaribu sana Jf,mutu ya Kongo Le Mobimba
EwaaID mpya katika ubora
Sawa bana.Naitwa immanuel Mosha, mkazi wa Kilimanjaro kwasasa Niko Dar salaam, ni mhitimu wa chuo kikuu mwaka huu, (Bachelor degree in social Work and sociology)
.
.Nimekua nikifuatilia JF kupitia ukurasa wa facebook huwa napata habari muhimu ambazo kiukweli inawezekana nisingezipata kwa urahisi kwenye vyanzo vingine vya habari
Niliona ndugu yangu anatumia JF akanishawishi kuitumia na kiukweli siku nimejiunga nilitumia muda mwingi Sana kupitia #thread Mbalimbali ambazo zimenifanya nimejua mambo mengi ambayo sikua nayajua mwanzoni
Kwangu Mimi hii imekua app bora hadi nasahau kujibu sms za watu huko WhatsApp
Ninafuraha Sana kujumuika nanyi hapa na natumaini nitaendelea kujifunza mengi zaidi ahsanteni.
Naitwa immanuel Mosha, mkazi wa Kilimanjaro kwasasa Niko Dar salaam, ni mhitimu wa chuo kikuu mwaka huu, (Bachelor degree in social Work and sociology)
.Nimekua nikifuatilia JF kupitia ukurasa wa facebook huwa napata habari muhimu ambazo kiukweli inawezekana nisingezipata kwa urahisi kwenye vyanzo vingine vya habari.
Niliona ndugu yangu anatumia JF akanishawishi kuitumia na kiukweli siku nimejiunga nilitumia muda mwingi Sana kupitia #thread Mbalimbali ambazo zimenifanya nimejua mambo mengi ambayo sikua nayajua mwanzoni.
Kwangu Mimi hii imekua app bora hadi nasahau kujibu sms za watu huko WhatsApp.
Ninafuraha Sana kujumuika nanyi hapa na natumaini nitaendelea kujifunza mengi zaidi ahsanteni.