Inkoskaz JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 6,359 Reaction score 2,389 Apr 3, 2011 #1 A nice Nikon Proffessional Camera with Zoom Lens for only 500 USD interested parties just PM
mfianchi Platinum Member Joined Jul 1, 2009 Posts 12,293 Reaction score 9,227 Apr 3, 2011 #2 Inkoskaz said: View attachment 26501View attachment 26502 A nice Nikon Proffessional Camera with Zoom Lens for only 500 USD interested parties just PM Click to expand... Mate yananitoka mwe huu ulofa nao kaaazi kwelikweli
Inkoskaz said: View attachment 26501View attachment 26502 A nice Nikon Proffessional Camera with Zoom Lens for only 500 USD interested parties just PM Click to expand... Mate yananitoka mwe huu ulofa nao kaaazi kwelikweli
Inkoskaz JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 6,359 Reaction score 2,389 Apr 3, 2011 Thread starter #3 mfianchi said: Mate yananitoka mwe huu ulofa nao kaaazi kwelikweli Click to expand... umenichekesha kweli Mfianchi jipigepige upate hicho kitu haya mambo ya kawaida tu!!
mfianchi said: Mate yananitoka mwe huu ulofa nao kaaazi kwelikweli Click to expand... umenichekesha kweli Mfianchi jipigepige upate hicho kitu haya mambo ya kawaida tu!!
mfianchi Platinum Member Joined Jul 1, 2009 Posts 12,293 Reaction score 9,227 Apr 3, 2011 #4 Inkoskaz said: umenichekesha kweli Mfianchi jipigepige upate hicho kitu haya mambo ya kawaida tu!! Click to expand... Ni kweli kaka lakini watu wanasema ukiwa uchi ndipo hukutana na mkweo,we acha tu nimekuwa kama abunuwas nala kwa harufu
Inkoskaz said: umenichekesha kweli Mfianchi jipigepige upate hicho kitu haya mambo ya kawaida tu!! Click to expand... Ni kweli kaka lakini watu wanasema ukiwa uchi ndipo hukutana na mkweo,we acha tu nimekuwa kama abunuwas nala kwa harufu
Inkoskaz JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 6,359 Reaction score 2,389 Apr 3, 2011 Thread starter #5 mfianchi said: Ni kweli kaka lakini watu wanasema ukiwa uchi ndipo hukutana na mkweo,we acha tu nimekuwa kama abunuwas nala kwa harufu Click to expand... haya mkuu Abunuwas...naona unaimagine hilo zoOM linavyovuta mbali...picha cleaaar!
mfianchi said: Ni kweli kaka lakini watu wanasema ukiwa uchi ndipo hukutana na mkweo,we acha tu nimekuwa kama abunuwas nala kwa harufu Click to expand... haya mkuu Abunuwas...naona unaimagine hilo zoOM linavyovuta mbali...picha cleaaar!