Mimi sikupi pole,japo nilisoma post yako yote iliyopita nika ignore! kwa kuwa pole inauma na wewe shida yako haijaisha, nami nimeguswa na tatizo lako nataka nikupe msaada wa ushauri ili uweze pona kabisa.
Naomba kujua yafuatayo kwanza.
Una umri gani sasa?
Ilitkeaje hadi ukaona mdomo umepinda? Usiku, mchana, ulivyoamka, ulivyokimbia/kuaguka nk.
Ni vyakula/vinywaji gani unavyopendelea sana? hapa uniambie. Yaani kwa wiki ni vyakula vipi ambavyo unakula sana kwa wiki?
Unafanya kazi gani? na Unatumia usafiri gani kila siku?
Ukinijibu in details nitakupa ushauri mzuri.
uni quote wakati unanijibu.