new nissan xtrail for sale

incharge

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2011
Posts
5,829
Reaction score
9,772
new just imported from japan
serious buyers contact 0715 881881
you can view it around morocco area near american embassy
price 18m all duties paid
 

Attachments

  • xtrail.jpg
    43.6 KB · Views: 247
hii gari kwa muonekana nzuri. Sijui mafundi na wazoefu wanasemaje kuhusu ubora wake? e.g. upatikaji wa spares,
 
Mbona picha gari inaonekana ipo japenga? Weka picha ikiwa hapo maeneo ya ubalozi wa marekani drive inn.
 
ndo maana hata reg hain
haya ndo mambo ya mtandao
just imetoka bandarini on jumatano, if you are serious unaweza kuja hapa jirani na zantel kuiona, seeing is believing
 
Gari nzuri sana hiyo tatizo la Nissan spare parts zake ni ghali sana, kama hela yako ya mawazo bora utafute Toyota tu
 
Gari nzuri sana hiyo tatizo la Nissan spare parts zake ni ghali sana, kama hela yako ya mawazo bora utafute Toyota tu

Ni kweli spare parts za nissan zipo juu, lakini uimara wake ni mzuri sana ukilinganisha na spare parts za toyota, mfano spare ya toyota waweza badili mara tatu lakini ya nissan ipo palepale, hivyo kiuchumi the difference is not statisticaly significant!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…