Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,146 13,216 Jun 13, 2013 #4 mateso tupu hapo bira nikae oembeni
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,146 13,216 Jun 13, 2013 #5 usikute hadi maungiani kuna kufuli
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Aug 10, 2012 47,864 41,216 Jun 13, 2013 #6 Ikifikia steji hiyo, nahama chumba
grafani11 JF-Expert Member May 24, 2011 15,442 5,807 Jun 13, 2013 #7 Wamesahau kuunganisha na stima kwa uhakika zaidi.
Marumia JF-Expert Member Feb 11, 2012 644 213 Jun 13, 2013 #8 Mtoto halali na hela said: Ikifikia steji hiyo, nahama chumba Click to expand... Kama hiyo haitoshi mkuu... ni bora kuanza ukurasa mpya wa maisha yako manake maana halisiya ndoa hapo tena haipo! Hakuna haja ya kuishi kwenye vita baridi!
Mtoto halali na hela said: Ikifikia steji hiyo, nahama chumba Click to expand... Kama hiyo haitoshi mkuu... ni bora kuanza ukurasa mpya wa maisha yako manake maana halisiya ndoa hapo tena haipo! Hakuna haja ya kuishi kwenye vita baridi!
kashesho JF-Expert Member Oct 19, 2012 4,976 2,465 Jun 13, 2013 #9 nani atakuwa wa kwanza kumchokoza mwenzake hapo?