Ni vizuri sana mkuu........ila nilivyoona tangazo sikujua kama ni viatu hivi........mimi nilijua ni kama picha hapo chini coz ndio nimekuwa nikiona Masai wamevaa.........sijawahi kuona Masai kavaa viatu kama hivyo vyako.........
labda ungesema........unauza viatu vilivyotengenezwa kwa shanga za kimasai..........