Nauza tv flat screen (mtumba ),

nyamhu

Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
47
Reaction score
28
Nauza tv flat screen kuanzia inch 19 na kuendelea , mwenye mahitaji ani pm
 
Weka picha na bei, je una risiti za electronic maana mimi nataka nisafirishe
 
Ninayo Tv ya Samsung , inch 24, nauza laki 2.5 mpya...

No ya simu 0757970094
 
Aina gani za tvzako na kama ni za kichina basi tu nikwambie pole
 
Niko tofauti na mleta mada... Hiyo ni ya december nimetumiwa kama zawadi... Ndio ni mpya... Nina matatizo ndo maana nauza.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…