Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,370
- 2,715
2014 mkuu.Ya mwaka gani??
Ya mwaka gani??
Mmmhhhhh,2014 mkuu.
Haina tatizo mkuu.Ina kilometa ngapi na je haina tatizo lolote?
Mwisho wangu 8 mkuu.Milioni 6 chukua faster.
Mwisho 8 mkuu wangu.Chukua 6m
Huenda anamaanisha mwaka ambao limeingia hapa nchini.Mmmhhhhh,
Sio kweli.
Toyota Carina ya Mwisho ilitengenezwa Mwaka 2001
Karibuni PM kwa maelewano zaidi.