Nauza tende

Yaani umeniongelea mimi napenda sana hii natengeneza sana kwang😍
😋 Huwa nzuri sana, mie huwa nafanya smoothie la ( oats, maziwa, avocado, banana, peanut butter, mtende , almond seed, mkorosho ) siwekagi kabisa maji, maziwa ya ngamia ndio huyatimia kama maji.. yaaani hadi raha
 
We unaweka vitu vingi mno😂

Mi naweka ndizi,korosho,peanut,nazi,almond,tende na maziwa 😋

Sema ukizoea unanenepaa😂
 
Attachments

  • D2495A03-4617-4579-8907-6667B4A3F939.jpeg
    102.6 KB · Views: 7
We unaweka vitu vingi mno😂

Mi naweka ndizi,korosho,peanut,nazi,almond,tende na maziwa 😋

Sema ukizoea unanenepaa😂
Naomba hiyo 😋😋.. ni kweli inanepesha. Nasikia pia inaongeza manii sijui Sasa kama kweli au fix
Your browser is not able to display this video.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…