Nauza Tecno 7c

Unauza bila kuweka bei???Umeweka picha tu,weka uwezo wake,umeitumia muda gani??Ina tatizo gani au kwann umeamua kuiuza.
 
Talizo haina ispokuwa ina kreki kwenye tachi,bei maelewano
 
Exchange na laptop mini keyboard mbovu ila kuna external keyboard ya lenovo nauza 145k au exchange
 
mkuu hiyo pc bila kupepesa nikupe laki moja nimpe dogo asomee. 0718151415
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…