Nauza SUZUKI SWIFT milion 4 Cash

MstahikiMeya

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
1,633
Reaction score
561
Wakuu husika na kichwa cha habari hapo juu..

Ni old model...haina tatzo lolote

Kilomita ni 220000

Imesajiliwa kwa namba B

Only for 4 milion Cash

0786242495
 

Attachments

  • 1411906010516.jpg
    94.9 KB · Views: 1,082
  • 1411906049920.jpg
    75.6 KB · Views: 937
Nina 3m very serious. Nikumbushe cc za engine
 
Haijaanza kaugonjwa kakusinzia?
 
Mbona hutaki kupiga picha engine, unaficha nn? Swift ya 1200cc siyo 1300?
 
Kuna jambo hapo,nlitaka kujua kitu ila jamaa kagoma kupga picha engine,kuweni makini na hili gari,nlitaka kuwa interestd ila jamaa kanivunja moyo
 
kaa ukingojea picha huku gari inauzwa mkuu

endelea kungoja picha

Ondoa hofu, kama watu wanauza chuma chakavu chenye kutu sembuse mchuma kama huo? Utauza muda si mrefu maana bei yake watu wengi watamudu kinunua.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…