Nauza suzuki swift 4.5mil

billz949

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
311
Reaction score
73
Wadau nauza suzuki swift ikiwa katika hali nzuri sana gari ina ac inayofanya kazi zr...baridi kama uko urusi engine haijawahi kufunguliwa automatic gear milango mitano
km 121,300 haijawahi kupata ajali yoyote kubwa wala haijawahi kupigwa rangi
Interested party njoo 0685369349 nitakutumia picha na any other details.
 
Ndugu ni ushauri tuu magari now yameshuka sana bei jaribu kupunguza price utapata mteja huo ni ushauri wangu
 
Ushauri mkuu - shusha bei hiyo nikubwa sana,amzia kwenye 3 ili uuze kwa 2.6,ni ushauri tu
 
kama bado ipo joo uchukue 2.5m very siriazi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…