CHE GUEVARA-II
JF-Expert Member
- Jun 17, 2010
- 571
- 156
Wadau, habari zenu?
Nauza SUZUKI CARRY, 4WD, manual, haijazidi miezi sita toka inunuliwe na kuanza kutumika. Haina tatizo lolote.
Imelipiwa kila kitu (motor vehicle licence na bima).
Sababu za kuiuza - namalizia ujenzi wa nyumba.
BEI: 7,000,000 Tshs (negotiable).
KWA MAWASILIANO: 0763718328 au PM
INAPOPATIKANA: Dar
.
Hii picha nilipiga usiku kwa ajili ya kuwapatia picha ya kile ninachosema, nitatuma picha zaidi baadaye.
/QUOTE]
Nimeweka picha zaidi.[
Ok, nitashukuru.kuna jamaa aliniambia anahitaji gari kama hilo, nitamstua.
20000 mkuu kwa dar....ila kuna sehemu mkoaa morogoro kwa siku hadi 50000Hivi kwa Dar ukiwa na suzuki carry dereva kwa siku anasubmit kiasi gani??
20000 mkuu kwa dar....ila kuna sehemu mkoaa morogoro kwa siku hadi 50000
Gari bado ipo sokoni.Tiba, nita-check vizuri katika documents.
Hata milleage nita-check pia. Lakini ilikuwa inabeba vyakula vya mifugo tu (hususan nyasi za ng'ombe) na ku-park.
Nadhani ni ya 1998 au zaidi.
"by default" 5M hailipi.
Mwenye 6.5M alete achukue gari.