Habari zenu wakuu humu ndani,
Mimi ni muhitimu wa diploma ya uhasibu. Nimeshafanya interview karibia 50 mpaka sasa sijabahatika kupata kazi. Tena interview ya mwisho nilifanya pale chuo cha kodi. Kutokana na ugumu wa maisha na ukosefu wa ajira nimeamua kuuza simu yangu iPhone 5s nimetumia mwezi 1 tu. Bei ni shs.650,000/=.