kama upo serious nakuuzia yangu ina mwezi na receipt yake juu ya dukani ya 270,000....full box na kila kitu chake...
issue is utaongezea kidogo ya usafirishaji maana nipo mbeya huku...
sababu ya kuuza ase nilienda shop kutafuta j2 samsung...kwa wakazi wa mbeya huwa simu tunanunua kwa mtawa tu..sasa nipo shop pale nikakutana na mwenzangua ananunua hii nilivutiwa nayo ..ila mwisho wa siku baada ya matumiz sijaielewa kiivo...