Nauza scannia 113 na volvo kwa bei nzuri kabisa,kwa maelezo zaidi pinga number hii 0787108200.Zipo tanga pia zipo kwenye ubora mzuri kabisa,zipo natrela zake
Kama umeamua kutangaza hapa huna budi kuweka bei na sio kuwaambia watu wapige simu!au unatangaza number ya simu?why iwe siri mpaka tujuishane kwa simu?achen biashara za hivo,umeweka tangazo weka na bei na maelekezo yote ya muhimu.
Kua kama uliopita stage nzuri mkuu mbona kwenye mahotel na mashule wakiwa wanafanya matangazo hawaweki bei zao wanaweka picha na number za simu,biashara haitaki hivyoo mkuu@kamanda moshi
Kama umeamua kutangaza hapa huna budi kuweka bei na sio kuwaambia watu wapige simu!au unatangaza number ya simu?why iwe siri mpaka tujuishane kwa simu?achen biashara za hivo,umeweka tangazo weka na bei na maelekezo yote ya muhimu.
weka bei hapa ndio sokoni kila bidhaa ina bei yake. bei yaweza kumshawishi hata asiye na nia ya kununua akanunua, kwa wenye uelewa wa mambo ya marketing nafikir wananisoma