Nauza RAV 4 Short Chasis

ligimilo

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2012
Posts
301
Reaction score
75
Nauza Rav 4 Short Chasis ( 3 doors) ya mwaka 1998 kwa Tshs 9,000,000/=
 
Preta naomba nivumilie kidogo naweka picha si muda mrefu
 
Kabla ya saa 12 jioni ntakua nimeshapiga na ku upload picha za ndani. Mnivumilie wakuu.
 
Kaka weka imetembea umbali gani. Kisha niinbox tuongee
 
Wakuu wakati mkiendelea kusubiri picha kama kuna chochote cha kuniuliza mnaweza nipata kwa namba; 0713-632526 au 0784-632526
 
Ya kizamani sana ..chukua milioni 3
 
Mkuu kigogo sipingi kuwa aina hii ni ya kizamani, but to be frank katika matoleo yote ya rav 4 ni model ya sxa 10 na sxa 11 tu ndo gari ngumu. Lakini yale matoleo mengine ya si bora sana ingawa ki muonekano yanaita sana. All in all it depends on your choice.
 

Mkuu hizo gari ni imara nazipata, imetembea kilometer ngapi tunegotiate.
 
Imetembea kilometa 140,000 but ipo bomba sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…