Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Play station 2 inauzwa bei elekezi hapo juu. Ipo kwenye hali nzuri i.e in a mint condition. Ina uwezo wa kusoma games kwenye flash, na pia unaweza kutumia kama dvd player.
Sipo sana online ila serious buyers contact me kwa 0658 221191.
NB: Nitakupa CD ya teken 4 bure na memory card yake.
Asanteni