Niko Ruo hapa .
Matunda bado yapo.??
Yapo kama bado UNAHITAJI, Bei ni 0764014285
Umeisoma post ya hapo juu niliyomjibu huyo jamaa lakini?....Mungu akubariki kazi ya mikono yako dada.
Ukiweza tafuta na wale wenye juice bar, natumia no project endelevu tutafanya sana biashara mwakani nitakuwa na project nazo sana.
Umeisoma post ya hapo juu niliyomjibu huyo jamaa lakini?....
Any way siku Nikitaka kuifanya tutaona namna gani tunaifanya
Asante dear
Habari yako mkuu..Habari wapendwa
Nauza matunda hayo aina ya passion....nauza kwa kg,na @kg ni tsh 2000 ........kwa mwenye uhitaji wa hayo matunda ani pm.
Lakini hii ni kwa watu wa dar es salaam,Lindi,mtwara,na ruvuma .
Napokea order kuanzia kg 50
Ahsante na karibuni
Uwe na tabia ya kusoma comments zote katika uzi, Itakusaidia namna ya kuandika comment yako huko mbeleHabari yako mkuu..
Vipi passion bado unazo?
Na naweza kupata more details zake aina gani unayo??.. na kwa wingi gani naweza kupata namaanisha idadi ton??na kwa kila mda gani unakua nazo.. na bei pia kama nikiwa nachukuwa kwa wingi jee.. utanipa punguzo bei nzuri... na picha kama zipo tafadhali... tunaweza kufanya biashara mkuu
Ahsante .. natarajia majibu yako ....