Unatoa risiti ya efd ? Sema tuu nauza pasi iko ktk hali nzuri.OK unauza shi ngapi uko wapi ? Pia weka na picha muhimu uko wapi sio mkoa taja eneo husika ulipo
Unatoa risiti ya efd ? Sema tuu nauza pasi iko ktk hali nzuri.OK unauza shi ngapi uko wapi ? Pia weka na picha muhimu uko wapi sio mkoa taja eneo husika ulipo
Ndiyo maana nimeamua kujenga kachumba kamoja nihamie kwangu hizi aibu ni miaka miwili tu! Kaongoza Je? Aking'ang'ania si ndi tutauza mpaka ndala Vijana amkeni.
Kumbe ni mdada pole sana nimeona kucha ndiyo nimetambua Japo Nyie Madada mliisha uumiza moyo wangu sana bado ninahuruma na nyie, Kesho kama mishe zangu zitaenda sawa nitakutumia hiyo ili usiuze hiyo pasi.