jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,020
Ni juu yako mkuu.Gharama za kuguma mikoani ni zenu?
Ni earphones,zina wire umezungushwa katikati ya hiyo package.Hizi ni earphones au Pods? Naona kama hazina wire
Ndio.Na hiyo adaptor kwenye picha ya pili inakuja nazo?
Karibu,ni original mkuu,ondoa shaka.Poa, nitakucheki weekend. Lakini ziwe original kweli maana sishindwi kutumia gharama kukurudishia zikiwa hazigongi