ujamaajulius Member Joined Jul 28, 2015 Posts 50 Reaction score 66 Jul 31, 2015 #1 Ndugu wanajamvi, Ninauza nyumba vyumba vinne, pamoja na shule ya chekechea kwa pamoja. viko kwenye kiwanja kimoja chenye ukubwa wa 4500sqm.Kiwanja kipo Pugu Kigogo Fresh. kama utahitaji tuwasiliane. Hakuna mtu kati. Nawasilisha
Ndugu wanajamvi, Ninauza nyumba vyumba vinne, pamoja na shule ya chekechea kwa pamoja. viko kwenye kiwanja kimoja chenye ukubwa wa 4500sqm.Kiwanja kipo Pugu Kigogo Fresh. kama utahitaji tuwasiliane. Hakuna mtu kati. Nawasilisha
ujamaajulius Member Joined Jul 28, 2015 Posts 50 Reaction score 66 Jul 31, 2015 Thread starter #3 waweza nunua kwa 220M
ujamaajulius Member Joined Jul 28, 2015 Posts 50 Reaction score 66 Dec 15, 2017 Thread starter #4 ujamaajulius said: waweza nunua kwa 220M Click to expand... Bei imepungua Kwa kiwanja hiki, sasa ni million 150 Tu.
ujamaajulius said: waweza nunua kwa 220M Click to expand... Bei imepungua Kwa kiwanja hiki, sasa ni million 150 Tu.
Hute JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 6,537 Reaction score 6,479 Dec 15, 2017 #5 weka picha mkuu.
Papaa Gx JF-Expert Member Joined Oct 10, 2016 Posts 11,508 Reaction score 18,667 Dec 15, 2017 #6 Toka 2015 mpaka leo 2017 hujauza tu.!!?? We hauko serious Kabisa, Chukua M50 nakulioa cash.
N ngongoti2000 JF-Expert Member Joined Nov 20, 2017 Posts 2,233 Reaction score 2,159 Dec 15, 2017 #7 bila picha?