Nyumba kubwa inauzwa mbagala kuu kijichi jeshini
Ina vyumba vitatu master moja,sitting room kubwa,dinning,kitchen na store
Ina seventy quarter ambayo haijamaliziwa pamoja na banda kubwa la mifugo nje
Parking kubwa ya magari mpaka matano
Maji na umeme
Square meter 2117
Bei mill70
Kwa picha za ndani au maelezo zaidi piga/whatsaap 0676169893
Offer yako naisikiliza kwa aliye serious
Hapana kaka, Ni picha nadhani.
Ila iko location nzuri na nje tu lami mpaka mjini .. mtaa tulivu sana karibu na jeshi la polisi hence iko safe sana. Kwa maelezo zaidi karibu whatsapp kiongozi
Punguza dharau ndugu. Nyumba inanuliwa sio kwa uzuri tu. Bali eneo ilipo na ukubwa, means of transportation na mazingira ... !! Probably huna nyumba ndo maana sio rahisi kuelewa.