Nauza nyumba mbezi kwa 80M

Master of the game

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2016
Posts
5,858
Reaction score
2,700
Nyumba inauzwa Mbezi msakuzi kwa milioni 80 maongezi nakaribisha, nyumba ina vyumba vitatu kimoja master, pia kuna kota ya mtumishi ya chumba na sebule, pia nyumba ina fance na ina exit mbili, kwa mawasiliano na kwenda kuiona hata kesho nitafute kupitia 0689699704
 
Una Certificate of Tax Clearance? Tutajuaje hiyo Nyumba kama ni Imara unaweza kuta Tofari ulifyatua au ulinunua zilitumia cement kidogo au hazikunyweshwa maji ya kutosha.... Kuna House zingine unanunua na inabidi kuzibomoa na kujenga upya... ni sawa na unanunua kiwanja.

Kumbuka Mbezi ni kubwa na zipo Mbili ni ya kule Beach au Goba au ile near Gongo la mboto?
 
Duh we kweli sio mnunuz
 
Hayo yote ya nini? Kama ni mnunuzi unakwenda kuikagua hakuna haja ya kuagua
 
Ina nyaraka ya serikali ya mtaa lakini tayari kuna mchakato unafanyika wapatiwe hati eneo lote
 
kwa nini unaiuza, haina mgogoro wowote? miradhi,barabarani nk
 
Hapana haina mgogoro wowote, na kabla ya kununua utapitia kwenye serikali za mtaa ili kujiridhisha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…