akili akili JF-Expert Member Joined May 5, 2014 Posts 1,767 Reaction score 1,157 Feb 5, 2015 #1 Wadau, nauza gari, aina ya Toyota Noah, Road Tourer, gari ipo katika hali nzuri sana. Sababu ya kuuza ni kutokana na kukosa msimamiaji mzuri. Gari ipo Morogoro. Bei tsh Milioni 9. Kwa maelezo zaidi, karibu PM.
Wadau, nauza gari, aina ya Toyota Noah, Road Tourer, gari ipo katika hali nzuri sana. Sababu ya kuuza ni kutokana na kukosa msimamiaji mzuri. Gari ipo Morogoro. Bei tsh Milioni 9. Kwa maelezo zaidi, karibu PM.