NISSAN BLUEBIRD
KM - 55K
CC - 1490
YEAR - 2006
FUEL - Petrol
SEATING CAPACITY - 5
BEI - 13.5M
Big Interior
Full AC
Full Documents
In mint condition
Gari ina muda mchache toka iagizwe iwahi sasa
Maongezi kiasi yapoView attachment 1142381View attachment 1142382
Hizi gari tunaogopa spea zake maana ikifa moja leo kesho inakufa nyingine na kesho kutwa nyingine na kupata mpaka kenya au nje.
Ndio maana nissan tunazikimbia.
Au tushawishi tuone
Hizi gari tunaogopa spea zake maana ikifa moja leo kesho inakufa nyingine na kesho kutwa nyingine na kupata mpaka kenya au nje.
Ndio maana nissan tunazikimbia.
Au tushawishi tuone