haya mambo ya kuuziana vitu kiholela jana kuna mangi huku mtaani kauziwa lain ya tigo rusha, leo ameenda kuweka hela aanze biashara amekaa kidogo lain ikafungwa, kuwapigia tigo ikaonekana mwenyewe alienda akarenew , hela imekwenda jamaa kabaki na mawazo tu!