Aina: Dell Latitude D610
Pentium M 760 (2.00Ghz w/ 533Mhz FSB)
RAM 2G
Size ya kioo 14.1″
Betri inakaa na chaja kwa 2 hours
Imecollapse Hard disc
Sababu ya kuharibika HDD niliambiwa huenda ilikuwa imechoka
Bei 140,000
Mahala: kigamboni
Ukiweka Hard disc unaendelea na kazi tu
Yaaah ni bora mimi nimekuwa mkweli na kwa kutaka radhi za Mwenyezi Mungu kuliko yule ambaye angekudanganya ukanunua halafu badae ukamshtakia Mola kwa kufanya dhulma kutokana na kuficha ukweli
Heri yako wewe mwenye uwezo wa kununua ya dukani. Kuna ambao hata hii kuipata bado ni shida. Na vlvl biashara hii haina bei 'fixed' kwani maingezi yapo