Nauza laptop HP Probook 6360B

Complex

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
4,120
Reaction score
4,788
Nauza laptop

SIFA ZAKE.

* AINA :- HP probook 6360B
* Processor :- core i5, 64 bit, 2.5Ghz
* HDD :- 500 GB
* RAM :- 4GB
* Media :- DVD WR
* Screen :- 13 Inches
* Rangi :- Kijivu
* Battery :- Inakaa na chaji kwa masaa matatu na zaidi.
* OS :- Imewekewa windows 10 pro ( 32 Bit version )

Inakuja na charger yake,

Ipo katika hali nzuri kwani iliwekewa protecting layer. Na picha inayoonekana ni protecting layer imeanza kubanduka hivyo kama utataka unaweza kuitoa yote na computer ikabaki mpya kama imetoka dukani.

Bei yake Laki nne na ishirini tuu ( 420,000 )

NOTATION :
ina tatizo la keyboard, baadhi ya button kama nne hazifanyi kazi. Hivyo tukikubaliana, tukaafikiana bei, nitakubadilishia keyboard yote na kukuwekea keyboard mpya kabisa. Gharama za hii itakuwa ndani ya hiyo bei tajwa hapo juu.

Sababu ya kuuza ni kwamba nimepata laptop nyingine, So ninazo mbili. Hivyo sina matumizi nazo zote kwa wakati mmoja.

Kwa muhitaji accoment katika hii thread ama anicheki PM nimpatie namba yangu ya simu ama yeye anipe yake nitampigia.

karibuni Nyote


 
Laki 3 haina maslahi boss.
 
Mimi nina laki mbili tu bt keyboard nitaweka mwenyew
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…