uzeebusara
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 657
- 514
Mkuu inaRam ni ngapi na hard disk ni ngapi? je ina graphics card?
Mkuu panda kwa sababu nakuuzia kitu changu mwenyewe wala haina muda, ni bora na haina matatizo. Hakika hautajuta nakuhakikishia hilo.Mkuu nina mia tatu tufanye biashara
Mosi nashukuru kwa kuonyesha nia, lakini naomba uniwie radhi japo jivute hadi kwenye 380kMkuu naitaka sana lkn uwezo umeishia hapo
Sawa, in shaa Allaah, Mwenyezi Mungu akufanzie wepesi katika kupata rizki halaliTuombe mungu kama ntapata mkuu