Nauza laptop bei ya kawaida(picha)

lwampel

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Posts
249
Reaction score
55
Nauza laptop aina ya HP(HSNNC31C)pichani. Processor 2.00GHZ, Ram 1GB, BIT 64,DUO CORE, Hard disk 75GB, web cam NO!, DVD ROOM YES!, COLUR BLACK.. haina tatizo lolote, toka ianze kutumika hata mwaka bado BEI NI 350,000/= LAKI TATU NA NUSU TU. pia Maelewano yapo.. kwa mawasiliano zaidi unaweza kunipata kupitia 0752490238. Karibuni sana!
 

Attachments

  • 64203_382371288532179_1772316651_n.jpg
    20.7 KB · Views: 160
  • 1375833_382399768529331_836396479_n.jpg
    27.8 KB · Views: 139
  • 1370371_382545305181444_2051645842_n.jpg
    32 KB · Views: 139
Mkuu nakukubali sana! vp ile dell inspiron ushaiuza?
 
Mkuu nakukubali sana! vp ile dell inspiron ushaiuza?
Ebwana mkuu ile nishapiga ela fasta.. si unajua wanaonielewa huwa hawalazi damu!? kama vp wahi mzigo huu wa sasahivi nao uko poa!.
 
hauna min ya aina hiyo kama unayo ni pm
 
Hebu ngoja nichek kesho kama yule dogo atatuma pesa!
Mkuu labda kesho tunaweza kuchekiana!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…