Me ngoja niwasaidie kwa anayetaka kununua. Majina yaliyopo kwenye till siyo issue kubwa,kwa sababu hata huyo anayeuza inawezekana alinunua toka kwa mtu mwingine. Kitu cha muhimu ukitaka kununua till,hakikisha mnaenda kwa wakala mkuu wa hiyo till. Wakala mkuu ndo kila kitu..hata ikipotea,km ulienda hapo wakati wa kuinunua,wakala mkuu atai-swap. Na itakurahisishia hata ukitaka kubadilisha jina ni fasta tu. Halafu kwa Airtel money,hawabadilishi majina labda utengenezewe till mpya!!
Mwisho:- Me pia nnazo till za tigo na Voda. Bei maelewano,ila mm siuzi hiyo bei km ya jamaa! Bei zangu me ni juu kidogo..!!