Mnunulie tu
weka picha za waliozinunua wakazivaa mkuu...inahamasisha zaidi.....Hamna ndugu ni biashara sasa nitafanyaje ningeandika tu,wangesema weka na picha
imekuwaje tena bby au umezaa?very nice..ningekua nimebaki kama shepu niliyokua nayo ningenunua...saa hivi ni mwendo wa ma tei tei