Chiwa JF-Expert Member Joined Apr 17, 2008 Posts 4,150 Reaction score 5,019 Oct 6, 2011 #1 kipo twangoma km17 kutoka ferry kina ukubwa wa mita za mraba 984. kimepimwa na kina hati halali. mbele kina open space kubwa inaweza kutumika kwa bustani ya mbogamboga kinafikika vizuri. kipo block 11 kwa mawasiliano 0783 226144,0713226144
kipo twangoma km17 kutoka ferry kina ukubwa wa mita za mraba 984. kimepimwa na kina hati halali. mbele kina open space kubwa inaweza kutumika kwa bustani ya mbogamboga kinafikika vizuri. kipo block 11 kwa mawasiliano 0783 226144,0713226144
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,965 Reaction score 30,132 Oct 6, 2011 #3 Bila bei hujafanya kitu, Halafu tuangoma si ndio wale wanaipitiaga kongowe mbele ya mbagala??
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 62,555 Reaction score 94,261 Oct 6, 2011 #4 Weka bei hiyo tunaweza tukanunua,toangoma ya wapi???? Mwembe mtengu/Mikwambe/Fun city/Kwa sako/Njia panda ya Pinda(Ponde) wapi kiwanja chako kipo????
Weka bei hiyo tunaweza tukanunua,toangoma ya wapi???? Mwembe mtengu/Mikwambe/Fun city/Kwa sako/Njia panda ya Pinda(Ponde) wapi kiwanja chako kipo????