Nauza kiwanja Tuangoma

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,763
Reaction score
2,678
Habari wakuu.
Nina kiwanja changu nauza kilichopo eneo la Tungoma kwa sako karibu na barabara.Eneo hili llote kuna nyumba.Pia kuna huduma za maji na umeme.Ukubwa wa kiwanja ni 20 kwa 20.Bei ni milioni tano ambapo utaweza kulipa kwa awamu mbili ndani ya miezi miwili.
Mawasiliano:0713-039875
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…