Wakuu nauza kiwanja changu kwa wale wenyeji wa mwanza kiwanja hiki kipo nyamadoke Buswelu. ukubwa ni upana hatua 28 na urefu ni hatua 30, bei ni mil 2 cash
mi pia nipo mwanza kama kuna anayehitaji kiwanja au Shamba,kilichopimwa au ambacho hakijapimwa,low density, high density au medium anitafute kupitia 0766453675.