G GARETHBALE Member Joined Dec 22, 2013 Posts 76 Reaction score 333 Sep 11, 2015 #1 Nawasalim, nauza kiwanja changu kipo mbagala, ni 45 kwa 60, kwa tsh milioni tatu tu, tuwacliane kwa namba 0652713522 na 0759272289, karibuni sanaaaa
Nawasalim, nauza kiwanja changu kipo mbagala, ni 45 kwa 60, kwa tsh milioni tatu tu, tuwacliane kwa namba 0652713522 na 0759272289, karibuni sanaaaa
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,932 Reaction score 30,045 Sep 11, 2015 #2 GARETHBALE said: Nawasalim, nauza kiwanja changu kipo mbagala, ni 45 kwa 60, kwa tsh milioni tatu tu, tuwacliane kwa namba 0652713522 na 0759272289, karibuni sanaaaa Click to expand... Hizi 45 kwa 60 mnaziwekaga kavukavu, ukija kuuliza kumbe ni futi na sio mita. Pia mbagala kubwa, fafanua ni mbagala ipi?
GARETHBALE said: Nawasalim, nauza kiwanja changu kipo mbagala, ni 45 kwa 60, kwa tsh milioni tatu tu, tuwacliane kwa namba 0652713522 na 0759272289, karibuni sanaaaa Click to expand... Hizi 45 kwa 60 mnaziwekaga kavukavu, ukija kuuliza kumbe ni futi na sio mita. Pia mbagala kubwa, fafanua ni mbagala ipi?