Laki sita?Najitokeza kwa mara nyingine kutangaza kuuza kiwanja changu kilichopo dumira wilaya ya kilosa mkoa wa morogoro.
kiwanja hiki kina ukubwa wa hatua 30 urefu na hatua 20 upana.Kipo eneo zuri linalofaa kwa biashara na makazi.Kipo mita 200 kutoka barabara kuu iendayo kilosa.
Gharama ni Tsh.650,000/-lakini tunaweza kuzungumza na kuelewana.
Kama unahitaji tafadhali nitafute kupitia:
Email simonnyabiri@gmail.com
AU
Simu no. 0743 708 675 Na 0692 765 800
Ahsanten, karibuni saana
unaweza kuona laki sita hela ndogo lakini hapo kilipo na kama huna shughuli huko utaona hakikufaiLaki sita?
Mkuu nauliza kama ni kweli, unauza bei hiyo?unaweza kuona laki sita hela ndogo lakini hapo kilipo na kama huna shughuli huko utaona hakikufai
Mkuu mimi nina akili timamu na nimetangaza kuuza kiwanja kwa bei hio wala sijakosea.