Wakuu nauza kiwanja kipo maeneo ya Mbagara, Charambe kinaukubwa wa 40Ã-40.
Kipo karibu na barabara, eneo lina umeme pia kiwanja hakina darali tunafanya biashara kimepimwa na kina hatimiliki zote bei ni 3.5milioni.
Kwa mawasiliano namba 0656899091, maelewano yapo.