Plot4Sale Nauza kiwanja kipo BUNJU B

Doyi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2011
Posts
1,785
Reaction score
2,210
Heloo wakuu habari
Ninauza kiwanja kina ukubwa wa sqm 540(20X 27) kipo bunju B mtaa wa kihenzile .ni umbali wa dk 8 kutoka barabara kuu ya bagamoyo.,kipo eneo zuri jirani kabisa na club ya simba inapojenga uwanja wake wa michezo.hati hakina ila kuna document ya mauziano kutoka serikali ya mtaa na kimepimwa,anayehitaji anitafute kwa namba 0782-121649 bei ni kuanzia mil 18 ila maongezi yapo.asanteni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…