TRACE Senior Member Joined Jul 4, 2008 Posts 120 Reaction score 46 Apr 16, 2015 #1 Habari.Ninauza kiwanja 30x40m kipo 4.5km kutoka mizani ya Mailimoja Kibaha upande wa kulia ukitokea mjini.Gari ndogo inafika wakati wote.Maji na umeme karibu na site hakijapimwa bei Tshs.17,000,000 kwa anayehitaji 0715 505171
Habari.Ninauza kiwanja 30x40m kipo 4.5km kutoka mizani ya Mailimoja Kibaha upande wa kulia ukitokea mjini.Gari ndogo inafika wakati wote.Maji na umeme karibu na site hakijapimwa bei Tshs.17,000,000 kwa anayehitaji 0715 505171
Y ytara junior Member Joined Mar 27, 2015 Posts 51 Reaction score 11 Apr 16, 2015 #2 Mtihani ni kwamba hakijapimwa.
K king90 JF-Expert Member Joined Apr 18, 2014 Posts 368 Reaction score 221 Apr 16, 2015 #3 Hakijapimwa then wauza hiyo bei
Jongwe JF-Expert Member Joined Apr 25, 2008 Posts 1,040 Reaction score 666 Apr 20, 2015 #4 Eeh hiyo bei sio. . Igawanye kwa 3 halafu maongezi yawepo