Atakayenunua hapo atakua jirani yangu, karibu sana!, very potential area hapo mahaliJana niliwaahidi Leo nitaweka picha za kiwanja husika na picha zenyewe ndio hizi ndugu zangu..
Ni eneo zuri Sana, yaani nilikuwa napavutia kasi nijenge lakini mambo ndo yameingilia Kati, hivyo nazidi kuwakaribisha ndugu zangu kiwanja bado kipo. Karibuni sanaAtakayenunua hapo atakua jirani yangu, karibu sana!, very potential area hapo mahali
Paweke kiporo mkuu unless u need the money urgently, Ilazo ni sehemu moja nzuri sana na inajengeka kwa kasihasa hapo maeneo yako, hakujai maji tofauti na kule west mvua ikinyesha mtafutano! North udongo mfinyazi ikipiga mvua halafu pakauke utashangaa mipasuko ya ardhi!Ni eneo zuri Sana, yaani nilikuwa napavutia kasi nijenge lakini mambo ndo yameingilia Kati, hivyo nazidi kuwakaribisha ndugu zangu kiwanja bado kipo. Karibuni sana
Nashukuru Sana mkuu kwa support yako kwa kutoa more details about ILAZO South, nilipanga nikiache kwanza kiwanja hiki mpaka ntakapomaliza ujenzi niliouanza mkoa niliohamia kikazi lakini niwe muwazi nimefika sehemu nimekwama hivyo sina budi kukiuza kiwanja hiki ili nimalizie ujenzi nliouanza niweze kuepuka tabu za nyumba ya kupanga.Atakaekinunua hatojuta kwani ni sehemu inayoendelea haraka, imepangiliwa vyema, huduma za umeme na maji zipo, inatazamana na barabara, pia sio mbali na barabara kuu ya Dar ambapo kando ya barabara hii Kutakuwa na huduma mbalimbali km walivyoanza kina Perugina, Kimbinyiko etc...Karibuni Sana Uwahi fursa zinazopatikana IlazoPaweke kiporo mkuu unless u need the money urgently, Ilazo ni sehemu moja nzuri sana na inajengeka kwa kasihasa hapo maeneo yako, hakujai maji tofauti na kule west mvua ikinyesha mtafutano! North udongo mfinyazi ikipiga mvua halafu pakauke utashangaa mipasuko ya ardhi!nawapigia debe wadau kiwanja kipo mahali pazuri sana, Kimbinyiko akishusha biashara zake hapo mbele njia panda sijui itakuaje!, CDA nao wakitukumbuka kutumwagia lami kama za kule mitaa ya kisasa basi ilazo patakau mahali adhimu hapa dodoma, kila la kheri mkuu
Nauza kiwanja changu kilichopo eneo la Ilazo Dodoma, kimepimwa na kina hati miliki na hakina mgogoro wa aina yoyote, kipo sehemu nzuri Sana huduma za maji na umeme zimefika mita zisizozidi kumi kutoka katika kiwanja hiki, kina ukubwa wa square meter 639. Umbali kutoka barabara kuu ya Dodoma- Dar es salaam ni kama 1.5km. Bei yake ni Milioni 12 lakini mwenye pungufu pia tuwasiliane ili tuone kama Kuna uwezekano au la...Nimeamua kukiuza kwa sababu nimehamia mkoa mwingine kikazi, hivyo nimeghairi kujenga Dodoma. Ndugu zangu nawaomba wateja ambao wapo serious tuwasiliane kupitia 0718-964346 au 0759-017005.Ahsanteni