Nauza kiwanja Dodoma Mjini

Benny13

Member
Joined
Jan 31, 2014
Posts
32
Reaction score
6
Nauza kiwanja changu kilichopo eneo la Ilazo Dodoma, kimepimwa na kina hati miliki na hakina mgogoro wa aina yoyote, kipo sehemu nzuri Sana huduma za maji na umeme zimefika mita zisizozidi kumi kutoka katika kiwanja hiki, kina ukubwa wa square meter 639. Umbali kutoka barabara kuu ya Dodoma- Dar es salaam ni kama 1.5km. Bei yake ni Milioni 12 lakini mwenye pungufu pia tuwasiliane ili tuone kama Kuna uwezekano au la...Nimeamua kukiuza kwa sababu nimehamia mkoa mwingine kikazi, hivyo nimeghairi kujenga Dodoma. Ndugu zangu nawaomba wateja ambao wapo serious tuwasiliane kupitia 0718-964346 au 0759-017005.Ahsanteni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…