ahahaahaa....watzSasa si ukanunue cha 20*20 kuliko kuchafua post yangu,angalia na bei unafikiri utapata Chanika mjini kwa bei hii.
1 mil vip?Habari wana Jf.
Bei ni 2.7mil maelewano yapo.
Ukubwa ni mita15*15.
Kilomita moja kutoka barabara ya lami ya Chanika.
Huduma mhimu kama barabara na umeme vyote vipo.
Mteja unaruhusiwa kulipa kwa awamu mbili hadi tatu kulingana na makubaliano.
Karibuni,kuhusu mawasiliano tuwasiliane PM.
sasa hapo aongeze kiwanja au apunguze bei?Mbna kidogo sana mkuu angalau 20x20
Tumekaribia kutimiza ndoto ya mkuu kuishi kama MASHETANIKiwanja mwaka jana nimenunua 5mil sasa nauza 2.7 sipati mteja dah kuna nini kimetokea.
Mkuu kutoka Posta hadi Chanika sio mbali sana japo sina uhakika ni kilomita ngapi.I'm interested, ila sipajui Dar Vizuri. Je, ni umbali gani na mjini(Maeneo ya posta). Nimesikia nikaribu na airport. Je can you post a few pics ama PM me a few pictures of the plot? Alafu kama ulinunua 5M, i think the price you are selling is fair. Ila since no sane business person will accept a certain price without a bargain, i'll try to negotiate to. But i won't lowball you, i'll respect your price.
Mkuu kutoka Posta hadi Chanika sio mbali sana japo sina uhakika ni kilomita ngapi.
Kuhusu bei za viwanja mwaka jana kuanzia Chanika Msumbiji kurudi mjini bei ilikuwa juu sana hata mita 20*20 ilikuwa kawaida kuambiwa 6mil lakini sasa mambo yapo kinyume chake ndiomaana mimi nimeamua kushusha bei.