H herieth raphael New Member Joined Oct 14, 2016 Posts 3 Reaction score 1 Oct 14, 2016 #1 Nimepata matatizo,hivyo nauza kiwanja change kilichopo Nyegezi Mwanza Kata ya Luchelele,kiwanja kina ukubwa was 15 kwa 30,na kimepimwa,nauza milioni 4,kiwanja kipo km 3 toka chuo kikuu cha Saut na km 2 toka ziwani,mawasiliano yangu ni 0743024485
Nimepata matatizo,hivyo nauza kiwanja change kilichopo Nyegezi Mwanza Kata ya Luchelele,kiwanja kina ukubwa was 15 kwa 30,na kimepimwa,nauza milioni 4,kiwanja kipo km 3 toka chuo kikuu cha Saut na km 2 toka ziwani,mawasiliano yangu ni 0743024485
HALELUYA MOSHI JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 2,121 Reaction score 1,205 Oct 14, 2016 #2 Pole mwaya! Mungu akusaidie
K kochaMchezaji Member Joined Feb 15, 2015 Posts 97 Reaction score 84 Oct 14, 2016 #3 Kimepimwa? Na je Una hati miliki