Nauza kiwanja changu Dodoma mjini mailimbili usomalini

chalabizo

Senior Member
Joined
Feb 2, 2017
Posts
187
Reaction score
216
Wana JF Nina matatizo yamenikabili mpaka shingoni hivyo nahitaji pesa kuweza kuyatatua na kusimama upya hivyo basi nimeamua kuuza kiwanja changu ambacho kipo Dodoma mjini mailimbili, kina ukubwa wa 60kwa 35 , kiwanja hiki kimepimwa na kina offer ila hati yake haijafatiliwa.
Bei maelewano tu
 
Bei gn?
 
Bei gani kiongozi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…