Nuaza kiwanja chenye ukubwa wa Square meter 400.Kipo umbali wa dk kutoka barabara kuu ya lami,Pembeni kuna nguzo ya umeme.Barabara ya mtaa ipo mpaka kwenye plot.
Bei ni 3,700,000.Unaweza kulipa kwa awamu mbili Awamu ya kwanza iwe mil 2.
Mawasiliano 0684-865287