Wandugu,
Kiwanja kipo eneo la Kivule (kitunda), manispaa ya Ilala. Kimepakana na barabara kubwa ya mtaa, eneo limejengeka tayari, umeme upo jirani na Tanesco ndio wanasimika nguzo kuelekea eneo la kiwanja, kipo tambarare,...
Bei ni TShs 7m.
NB: eneo halijapimwa (not surveyed)ila limepangika vizuri.
Karibuni