tatizo la hizo simu y300 ni kuchelewa kwa sms kufika, natuma leo sms inafika kesho lingine ukiwa online ukiwa unaperuzi ukipigiwa nadra kupatikana hiyo yako haina matatizo hayo????
km uliuziwa hvyo sina budi kusema walikuokota matangazo kila cku redion yanatangaza iyo bei na mm ninayo nimechukua kwa hyohyo bei 150k mkuu.
nenda tigo shop kwa uthibitisho.
km uliuziwa hvyo sina budi kusema walikuokota matangazo kila cku redion yanatangaza iyo bei na mm ninayo nimechukua kwa hyohyo bei 150k mkuu.
nenda tigo shop kwa uthibitisho.