Nauza Gari

imbegete

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,299
Reaction score
994
Wandugu, nauza gari Pickup Mitsubish 2WD ya mwala 1996. Mwenye serious offer ano PM
 
weka details watu wasiwe na maswali ya kukuuliza kaka
 
Ni mitsubish pickup L200 ya 1996 . Ina tatizo la pump tu, vinginevyo iko vizuri, iko pugu kajiungeni kama unataka kuiona. Nitatupia picja kesho.
 
Weka picha, pia kama ina tatzo sema na bei yako ya kuuza ni shilingi ngapi?
 
BTW, ni moja wapo wa zile zilizowaho kuitwa "Twende zetu Jeshini"
 
Ni mitsubish pickup L200 ya 1996 . Ina tatizo la pump tu, vinginevyo iko vizuri, iko pugu kajiungeni kama unataka kuiona. Nitatupia picja kesho.

Ni double or single cabin?
 
Bila shaka inatumia injini 4D56, injini hizi zikichoka ni shida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…